KIKAO CHA WADAU WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA TRAKOMA-ARUSHA
Mwambawahabari
Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akifungua Mkutano wa mafunzo wa nchi 21 ambazo zina maambukizi ya Ugonjwa wa Trakoma (Vikope) uliofanyika katika jiji la Arusha.
Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akifungua Mkutano wa mafunzo wa nchi 21 ambazo zina maambukizi ya Ugonjwa wa Trakoma (Vikope) uliofanyika katika jiji la Arusha.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dkt. Timothy Wonanji akiongea na Wadau kutoka nchi mbali mbali wa magonjwa ya Trakoma(Vikope) katika kikao kilichofanyika jijini Arusha huku lengo likiwa kuhimarisha mkakati wa namna ya kugundua ugonjwa wa Trakoma na jinsi yakuweka takwimu sahihi katika nchi hizo 21.
Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele chini ya Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazeee na watoto Dkt . Upendo Mwingila akionga kwa kifupi juu ya hali ya ugonjwa wa Trakoma nchini mbele ya Wadau wa ugonjwa wa Trakoma kutoka nchi 21.
Picha ya Wadau zaidi ya 100 kutoka nchi 21 ambao walihudhuria kikao chenye lengo la kuhimarisha mkakati wa namna ya kugundua ugonjwa wa Trakoma na jinsi yakuweka takwimu sahihi kilichofanyika jijini Arusha
Kundi namba 1 la Wataalamu likiongozwa na madaktari (Graders) wakijadili kuhusu ugonjwa wa Trakoma katika nchi zao.
Kundi namba 2 ni Wataalamu wa masuala ya Takwimu wakijadil namna ya uingizaji wa takwimu kwa usahihi.
Picha ya Pamoja ya Wadau
kutoka nchi 21 wa ugonjwa ya Trakoma(Vikope) walioshiriki katika kikao
kilichofanyika jijini Arusha huku lengo likiwa kuhimarisha mkakati wa namna ya
kugundua ugonjwa wa Trakoma na jinsi yakuweka takwimu sahihi katika nchi hizo
21.
Post a Comment