Ads

AZAM YALAMBA TENA MKATABA NMB

NMB yaiongezea Azam FC mkataba mwaka mmoja
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Abdul Mohamed (kulia), akimkabidhi Mkurungezi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker moja ya jezi zinazotumiwa na klabu hiyo msimu huu.

Klabu ya Azam FC imeendelea kuingia kwenye neema mpya baada ya kuingia tena mkataba mpya wa Benki ya wazalendo ya NMB.

NMB wanaonekana kufurahishwa na mambo yalivyokwenda katika mkataba wao wa kwanza na NMB baada ya kuonekana kuutendea haki mkataba wao wa awali wa benki hiyo hivyo imewaongezea mwingine wa mwaka mmoja ambao utawasaidia kupambana kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

No comments