KATIBU WA BUNGE NDG.KIGAIGAI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE KATIKA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA BUNGE LEO MJINI DODOMA
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kigaigai akizungumza na Menejimenti ya Utumishi wa Bunge katika kikao
cha kufahamiana kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Bunge
wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kigaigai (katikati)
akizungumza wakati wa kikao cha kufahamiana na Menejimenti ya Utumishi
wa Bunge kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Post a Comment