Ads

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI YA KATIKA UZINDUZI WA MPANGO WA UWEZESHAJI WANA NCHI KIUCHUMI

  Waziri Mkuu wa Tanzania  Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Uwezeshaji kuhusu Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji wa Wananchi kiuchumi uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mkutano wa Mwalimu J K Nyerere Jijini Dare s salaam.



Waziri Mkuu wa Tanzania  Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Tanzania Investment Bank (TIB) Peter Noni ikiwa ni shukrani kwa kufadhili katika Mkutano wa Baraza la Uwezeshaji kuhusu Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji wa Wananchi kiuchumi uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Mkutano wa Mwalimu J K Nyerere Jijini Dare s salaam.



 Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa(Katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji (NEEC) Omary Issa wakati wakizungumza baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Uwezeshaji kuhusu Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji wa Wananchi kiuchumi uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mkutano wa Mwalimu J K Nyerere Jijini Dare s salaam kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Vijana na Ajira Mhe.Jenista Mhagama.
Pix 11 Waziri Mkuu wa Tanzania  Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa(Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Baraza la Uwezeshaji.
Picha na Raymond Mushumbusi 




No comments