Ads

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI KATIKA PICHA

www.mwambawahabari.blogspot.com

  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasilia Bungeni katika kuanza kikoa cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma


 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza sala ya kuliombea Bunge kabala ya kuanza kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma



 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Ashatu  Kijaji akiwasilisha hoja ya Serikali kuhusu Mpango wa Maendeleo mwa mwaka mmoja katika kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma




 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yussuf Massauni akijibu hoja toka kwa wabunge katika kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma




 Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo akijibu hoja toka kwa wabunge katika kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma

 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha akijibu hoja toka kwa wabunge katika kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma


 Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelline Mabula akijibu hoja toka kwa wabunge katika kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na Waziri wa NChi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe January Makamba wakati  kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma



Baadhi ya wabunge wakifatila kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Picha na Raymond Mushumbusi


Baadhi ya wabunge wakifatila kikao cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma




No comments