MABENK YAIMARISHA KIWANGO CHA MAUZO YA HISA SOKO LAHISA LA DAR ES SALAAM ( DSE)
KIWANGO cha mauzo yahisa kimeweza kupanda hadi kufikia shilingibilioni 6.7
kutoka shilingi bilioni 4 ambapo ongezeko hilo nisawa na asilimia 50 kwa wiki
iliyopita .
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja
mauzo na biashara wa soko la hisa la Dar es salaam DSE, Partick
Mususa alisema kuwa ongezeko hilo limetokana nakuongezeka kwa kiwango cha hisa
zilizoweza kuuzwa sokoni hapo ambapo jumla hisa bilioni 12zilingia
kwenye mauzo ikilinganishwa hisa bilioni 3.6 zilizouzwa kwa kipindi cha
wiki moja iliyo pita .
‘’Makapuni yaliongoza katika uuzwaji wa hisa zake kupitia soko
la hisa la Dar es salaam DSE nipamoja na benki ya CRDB,TBL SIMBA Cement
‘’Alisema Mususa.
Meneja Mauzo na Biashara Patrick Mususa amesema kuwa kiwango cha
mauzo hayo yahisa kuongezeka kutokana na hududuma yasekta yakibenki kuweza
kuimarika hali inayo changia kuimarika kwa idadi yamauzo yahisa katika soko
hilo .
Alisema kuwa sambamba na kuimarika kwa sekta yakibenki nchini
sekta ya viwanda imeweza kushuka kutkana sekta hiyo kutegemea sekta nyingine
ilikuweza kukua .
‘’Sekta ya viwanda imeza kushuka kutokana kuwategemezi kwa sekta
nyingine ilikuweza kukukuza uchumi nakuweza kuimarisha soko la mtaji katika
soko ‘’Aliongeza Mumsusa.
Post a Comment