Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry aiwakilisha Tanzania nchini Uganda
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” katika nchi nane za Africa. Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda tumesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine masoko ya Filamu (Sream East).
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” ktk nchi nane za Africa. Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda tumesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine masoko ya Filamu (Sream East).
Post a Comment