Ads

WAFUGAJI JIANDIKISHENI DAFTALI LA MPIGA KURA.

 

Mwenyekiti wa wafugaji nchini mrida mshoda amewataka wafugaji nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura pamoja na kuboresha taarifa zao ili waweze kupata haki ya kushiriki katika chaguzi.

Mrida ametoa kauli hiyo wilayani Bunda Mkoani Mara ambapo amesema kundi hilo kubwa linawajibu wakushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.

“Sisi wafugaji tunapaswa kuwa mfano katika zoezi hili kwahiyo nawahimiza wafugaji kote nchini nendeni mkajiandikishe tuanapaswa kuiunga Mkono serikali katika zoezi hili Alisema mrida mshoda mwenyekiti wa wachimbaji Taifa.

Akizungumza zoezi hilo maroche maroche Mmoja wawananchi ambaye pia nimfugaji amesema kwanamna ambavyo tume imeboresha huduma katika zoezi hilo kwani wamekuwa hawatumii Muda mwingi kukaa kituoni badala yake limekuwa Zoezi fupi na lenye ufanisi zaidi.

” Limekuwa zoezi zuri na lenye Muda mfupi ukifika nimuda mchache2 unaondoka kwahiyo kipindi hiki tume najitahid”Alisema maroche maroche mfugaji mara.

No comments