Ads

TAWA YATIANGUVU NYANGUMI FESTIVAL MTWARA.

 

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inawakaribisha wananchi wa mkoa wa Mtwara na watanzania kwa ujumla kutembelea viwanja vya Mashujaa mkoani humo kushiriki tamasha la Nyangumi.

No comments