Ads

KAMATI MAALUM OFISI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA OFISi ZA TMA




Kamati Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Leo Julai 17, 2024 imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri,  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo Dar es Salaam kwa ajili ya kupata uzoefu wa utoaji wa taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa zinavyosaidia katika kukabiliana na Maafa.

No comments