Ads

MNYIKA ATAJWA KUMPELEKEA FORM GEREZANI MBUNGE

 


Mbunge wa Viti Maalumu, Nusrat Hanje amesema kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika alimpelekea fomu ya uteuzi wa ubunge wa viti maalum akiwa gerezani.


Nusrati amesema hayo jijini Dar es salaam katika mahama kuu wakati akihojiwa na wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu katika kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama na Chadema.

Nusrat ameongeza kuwa katibu huyo alimpelekea fomu hiyo kati ya mwezi Julai na Novemba 2020 na kusaini kisha Mnyika akaondoka nayo.

No comments