RUFFO YAANDAA MDAHALO KUADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE 2022.
Taasisi ya Raising Up Friendship Faundation (RUFFO) imezindua kampeni ya mtandaoni
kuelekea maadhimisho ya mtoto wa kike wenye mada isemayo ‘Mtoto wa kike na Afya
ya uzazi’
Katika ufunguzi wa maadhimisho hayo yenye kilele ni siku ya jumanne tarehe 11.10.2022 ambapo shirika la RUFFO imeandaa mdahalo mkubwa utakaofanyika mikocheni jijini Dar es Salaam,ambapo wadau mbalimbali wametakiwa kushiriki.
Post a Comment