Ads

MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA MIRAE CHEMICALS LIMITED

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa kampuni ya Mirae Green Chemical Limited  kwenye hoteli ya Lotte iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 27, 2022. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. H. S. Cho na wa tatu kulia ni  Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Charles CM. Lee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mirae Green Chemical Limited, Bw. H. S. Cho kabla ya mazungumzo kati yake na viongozi wa Kampuni hiyo kwenye hoteli ya Lotte iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments