Ads

Dkt. Jingu akutana na wadau maendeleo wa shirika lisilo la kiserikali la Famers Dream


Na, wellu Mtaki Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa maendeleo wa shirika lisilo la serikali Famer Dreams katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome mjini Dodoma.



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu akisisitiza jambao katika kikao na wadau wa maendelo wa shirika lisilo la serikali Farmer Dreams Katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.




Wadau wa Maendeleo wa shirika lisilo la serikali Farmer Dreams  wakiwa katika kikao na katibu Mkuu Ofisi ya Waziri  mkuu.



Dkt. Martin Kalowela Mwenyekiti wa Famers Dream akitoa neno la shukrani baada ya kikao na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu (hayupo katika picha) Ngome Jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments