Ads

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA DODOMA

   

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yatakayo fanyika Kitaifa Mkoani Dodoma Julai 25, 2022, kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yatakayo fanyika Kitaifa Mkoani Dodoma Julai 25, 2022, kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. Julai 23, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,,akizungumza mara baada ya kukagua  maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yatakayo fanyika Kitaifa Mkoani Dodoma Julai 25, 2022, kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. Julai 23, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments