RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA KUSINI PEMBA
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na makundi mbalimbali ya Wazee Kisiwani Pemba katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.
.jpg)
Sehemu ya Wazee, Viongozi wa vyama vya Siasa pamoja na Viongozi wa dini wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kisiwani Pemba tarehe 16 Julai, 2022.
Post a Comment