BUNGE LIVE LALEJEA
Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa mubashara kuanzia kesho Jumanne Aprili 5.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma leo Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi, amesema bunge Kuoneshwa Mubashara kesho katika mkutano wa saba wa bunge la bajeti.
Post a Comment