Rais Samia Suluhu amemteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais - Ikulu.
Kabla ya uteuzi huo, Bi Zuhura alikuwa Mtayarishaji wa Vipindi na Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
Bi Zuhura anachukua nafasi ya Bw. Jaffar Haniu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Post a Comment