Ads

Huyu hapa Afisa habari mpya Simba SC

 


Simba SC imemtambulisha aliyekuwa mtangazaji wa Azam TV Ahmed Ally kuwa ndio meneja mawasiliano wa club (afisa habari), Ahmed Ally kabla ya nafasi hiyo amewahi kufanya kazi Sahara Media (Star TV & Radio Free) pamoja na Azam Media.

Kupitia Twitter Simba wameandika “Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki”

“Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano” Simba SC

No comments