KAMATI YA MAADILI BARAZA LA HABARI (MCT) YAFANYA ZIARA WAPO MEDIA H...
Baraza lahabari Tanzania MCT limesema limeridhishwa na uendeshaji wa vyombo vya habari vya Wapo Media katika utendaji wa kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu mtendaji wa baraza hilo Kajubi Mukajanga akizungumza leo baada ya kutembelea ofisi za na studi za wapo media mbezi beach jijini Dar es salaam akiwa ameambatana na viongozi wa kamati ya maadili ya baraza hilo.
Post a Comment