Infinix NA TIGO WAZINDUA SIMU MPYA YA Infinix ZERO X PRO TANZANIA.
Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania imeshirikiana na Infinix Tanzania imezindua simu janja toleo jipya yenye kiwango cha juu ya 108MP na 60x kamera, ijulikanayo kama Infinix ZERO X PRO, ambayo itauzwa kuanzia 800,000 Tsh.

Bw. Myonga ameongeza kuwa, "kuzindua Infinix Zero X PRO kunadhiirisha kwamba wateja wa Tigo watajipatia kilicho bora, suala litakalochangia kuongeza thamani ya mazingira ya kibiashara nchini."
Myonga amesema kuwa “Simu hizo zinapatikana katika maduka yote ya Tigo nchini kote na zitakua na Ofa ya GB 96 za Intaneti Bure kutumia mwaka mzima. "

Bi Aisha pia ameongeza "Infinix zero x pro imethibitishwa na Royal Observatory Greenwich ya jijini londoni kuwa MP 108 IOS na zoom lens ya 60X periscope ya Infinix ZERO X pro imefaulu katika jaribio la kupija picha ya mwezi ANGANI.
Post a Comment