SIMBA CHALI ,YANGA YAONGOZA KUINGIZA MASHABIKI WENGI KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI KATIKA MSIMU WA 2020/2021
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) leo imetangaza Club 20 za soka Tanzania ambazo zimeingiza Mashabiki wengi viwanjani (home ground) katika msimu wa 2020/2021.
1- Yanga SC Mashabiki 141,681
2- Simba SC Mashabiki 138,518
3- Dodoma Jiji FC Mashabiki 27,455
4- JKT Tanzania Mashabiki 25,062
5- Mwadui FC Mashabiki 22, 232
Post a Comment