TANZIA:MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA
Mchambuzi maarufu wa soka, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyo tolewa na shirika la Utangazaji nchini TBC Mwalimu Kashasha amefariki leo katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam alipo kuwa akipatiwa matibabu.
Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hadi umauti ulipomfika.
Post a Comment