Wanachi wachangamkia viwanja vya Property Intaernationa ,Mkurugezi atoboa siri nzito.
Badhi ya wateja waliotembelea banda la Property International wakipatiwa huduma
Kampuni inayo jishughulisha na uuzaji wa viwanja , vya makazi ,Viwanda ,Makazi na uuzaji wa vifaa vya ujenzi Property International imesema imetoapunguzo kubwa Katika msimu huu wa Saba saba.
Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bwana Harim Zahran, amewakarisha wananchi wote wanaotembelea Maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa (Saba Saba) yanayofanyika Katika viwanja vya Mwalim Nyerere Kilwaroad Jijini Dar es salaam, kutembea Banda lao ili waweze kupata maelezo zaidi.
Amesema kampuni hiyo pia inatoa huduma ya kupima Makazi kwa gharama nafuu na imesajiliwa na serikali.
Viwanja vyoa vinapatikana Katika maeneo mbalimbali ya nchi ikiwemo Kisarawe II,Pembamnazi,vimilia Ukooni,Gezaulole, Puna ,Bagamoyo ,Kibaha na Mlandizi .
"Ukipita maeneo ya Kisarawe II kwa Sasa utaona namna Viwanda vipya vinavyo jengwa hii inaonesha kwamba ujenzi wa Barabara ya kuu ya Kibada mwasonga ukikamlika utakuwa uechelewa changamka mapema viwanja bado vipo "Amesema.
Maeneo haya yanahuduma zote muhimu ,miradi ya maji imeshazinduliwa ,umeme station kubwa inajengwa napia ukinunua kiwanja unapewa na hati ambayo inaweza kutumika maeneo mbali mbali hata kuomba mkopo.
Post a Comment