SYRIAN PERFUME WATOA PUNGUZO LA BIDHAA ZAO SABASABA
Muonekano wa bidhaa za Sryian perfume katika banda lao katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa
Bwana Mohamed Abubakary akiwahudumia wateja waliofika kupata mahitaji katika banda la Syriaperfume sabasaba.
Wauzaji wakuu wa Syrian Perfume zenye ubora wa kimataifa wanakukaribisha katika Banda lao katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa ili uweze kujipatia bidhaa kwa bei nafu ya punguzo la sabasaba.
Ukitaka kuwapata njoo katika ukumbi wa karume (Karume Hall ) ukiingia ni banda lakwanza upande wa kushoto utaona limeandikwa Syrian Perfume.
Mohamed Abubakary anasema , katika brand ya hii kunaaina tkribani 80 za Syrian Perfume za kike na za kiume ,kuna ofer ya sabasaba perfume zina automizer unaifungua inakuwa imejaa unaweza kutumia mchanganyiko wa perfume mbalimbali zamani ili kupata mchanganyiko huu na kwenda nayo popote , zamai ilikuwa lazima uvumje chupa laikini sasa imerahisishwa .
Baada ya maonesho, Syrian Perfume wanapatika Dar free market orofa ya kwanza au tembelea www.syrianperfume.com au piga simu 0657553355, popote ulipo ukiagiza mzigo wanakuletea changamkia sasa ofa hii.
Post a Comment