SOMALIA: VIONGOZI WAFIKIA MAKUBALIANO YA KUFANYIKA UCHAGUZI
Baada ya kukwama kwa miezi kadhaa, Viongozi wa Siasa Nchini humo wamefikia makubaliano yanayotengeneza njia ya kufanyika Uchaguzi Mkuu ulio Huru na wa Haki
Waziri wa Mambo ya Nje, Abdirizak Mohamed, amesema mojawapo kati ya hoja zilizofikiwa suluhu ni kuundwa kwa Kamati ya Uchaguzi. Kutokuwepo Kamati hiyo kulikwamisha Uchaguzi wa Wabunge mwezi Desemba
Muhula wa Uongozi wa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed ulimalizika tangu Februari 2020
Post a Comment