IGP Simon Sirro atoa maagizo mazito kwa askari Kinondoni
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa
na askari (hawapo Pichani) wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni katika kikao kazi maalum
leo tarehe 26/05/2021 ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na
kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu. Picha na Jeshi la Polisi.
Post a Comment