Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kimeahirishwa ,sababu zatajwa.
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kimeahirishwa
kutokana na kifo cha Mbunge wa konde KHATIBU SAID HAJI kupitia chama cha
ACT Wazalendo.
Akitoa taarifa hiyo Naibu spika wa Bunge ,Tulia Ackson amesema kifo hicho
kimetokea leo ALFAJIRI katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam
na kwamba madhishi yatafanyika leo jioni huko Pemba Zanzibar
Post a Comment