Infinix KUSHEREHEKEA MSIMU WA WAPENDANAO NA WATEJA WAKE
Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni ya Infinix Aisha Karupa, alisema katika msimu huu wa valentine Infinix imekuletea promosheni ya #InfinixHotValentine ambayo inamuwezesha mteja atakayenunua simu ya Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli ya kifahari na mtu ampendaye”.
Infinix HOT 10 play ni simu mpya katika toleo la HOT na kama
inavyofahamika toleo la HOT kutoka Infinix ni toleo lenye sifa nyingi ambapo
sifa yake kubwa ni uwezo wa simu hiyo kudumu na chaji kwa muda mrefu.
Infinix HOT 10 play ni simu yenye battery ya ujazo wa mAh
6000, Memory iliyojengewa kwa ndani yenye ukubwa wa GB2/32 GB4/64 na camera
yenye 8MP za selfie na 13MPnyuma.
Infinix HOT 10 play sasa inapatikana katika maduka yote ya
simu nchini Tanzania, tembelea sasa katika maduka yao ya simu katika msimu huu
wa Valentine ujipatie zawadi papo hapo kama vile vikombe vya Infinix, package
ya zawadi za valentine na mlo wa usiku katika hotel ya kifahari kwa mteja
atakaenunua HOT 10 play mbili kwa pamoja.
Tembelea https://www.infinixmobility.com/tz/.
Kwa Mawasiliano- 0744606444
Post a Comment