TECNO KUWAPA FURAHA WATEJA WAKE KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA CHRISMASS NA MWAKA MPYA.
Kampuni ya simu TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Chrismass na Mwaka Mpya. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI terehe 11/12/2020 ambapo mteja atakaye nunua TECNO Camon 16s na Spark 5pro basi moja kwa moja atakuwa ameingia kwenye droo ya kushindania Mashine ya kufulia, Flat TV, Blenda, Rice cooker na zawadi nyenginezo hutolewa papo hapo.
Camon 16s;
Ni simu yenye kamera kali kuzidi simu zote za TECNO nyuma ikiwa na
MP 48 na selfie ni MP 16, ukubwa wa memory ni 128GB+4GB RAM na battery lenye
kudumu na chaji wa muda mrefu la mAh 5000.
Spark 5pro;
Ni simu
inayolenga watu wenye uchumi wa hali zote, ina camera nyenye uwezo wa kuchukua picha
wakati wowote haijalishi ni wakati gani na katika mazingira gani, camera ya
Spark 5pro ni MP16 na selfie yenye MP 8, memory ya GB 64+GB 3 RAM hukuikiwana
battery yenyemAh 5000.
Kwa maelezozaidtembeleahttps://www.tecno-mobile.com/tz/home/




Post a Comment