TANZANIA YA YASHANGAZA MATAIFA ,YAWACHANZO CHA BARAKA ,KANISA HALISI LA MUNGU BABA KUFANYA MKUTANO MKUBWA
Na John Luhende
Imeelezwa kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee Duniani iliyopewa upendeleo na Mungu kuwa chanzo cha baraka.
Hayo yamebainishwa na Babawauzao wa kanisa halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta namanga, alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jumapili ambapo amesema Mungu huviinua vinyonge na kuaibisha wenye nguvu 1Wakorintho 1:26.
Amesema , Waingereza waliweza kutafri Biblia kotoka lugha za zamani Kama kiyunani ,kiaramu ,kiratini kwenda lugha ya Kiingereza ambayo inasomwa na watu wengi dunianiwamarekani pia wanasiri nyingi zinazohubiri mambo ya vitabu,Waswidish iliwachukua miaka 8 baada ya kupokea kutoka mashariki ya kati wakaaambaza kila mahali, wajerumani pia waleweza kutafsri kuja Katika lugha ya kiswahili tuncho tumia leo Afrika ya mashariki.
Upendeleo huu unge weza wengeweza kupewa wengine mfano Nigeria na Africa ya kusini wamepewa kuwa na mitume na manabii wengi wakubwa sauti hii ingepitia kwao lakini tumepewa sisi watanzania 1Wakorintho 1:36.
Aidha amesema Tanzania itafaidika kiuchumi kutokana na wageni wataokuja nchini katika mkutano mkubwa unaotarajiwa kufanyika uwanja wa Taifa mwishoni mwa mwaka huu 2020 .
"Waisrael na watu wa Madina na Maka wakati sauti ilikuwa kwao watu wakienda kuhiji waliokuwa wanafaidika ni Taifa ndiyo maana hata Katika mapigano ya Waisrael na Waparestini hawashambulii wageni Katika mahoteli wanayofikia wanatambua kuwa hao wanawaletea uchumi wageni hawa wakija ni wawote wanaleta uchimi kwa Taifa "Alisema
Hata hivyo amesema Luka 11:33 na 8:16 na Marko 4:21 Inasema ukiwasha taa huweki chi ya uvungu au kitanda Bali huwekwa juu ya kiango ili iangaze Isaya 60:1-3 Tanzania ametupa upendeleo hatuna ugonjwa wa CORONA huu ndiyo wakati wa kuwaambia mataifa kuwa tumependelewa .
"Kuna mwanafunzi alikuwa anasoma India alipofika hapa nchini na alipofika nyumbani aliuliza kwa nini Tanzania hatuvai barakoa Kama India alikiotoka? akajibiwa Mwanangu tumepewa upendeleo Mungu yuko juu ya hiinchi , nataka niseme hili sijambo dogo nataka tuliweke juu ya kiango sisi tunanuru lazima tuitangazie dunia mambo makuu ya Mungu.
Ameongeza kuwa waTanzania tulipoombwa na Rais Magufuli tuombe juu ya CORONA hata mataifa mengine waliomba tena wanamitume na manabii wengi lakini sisi waTanzania tulijibiwa mapema huu ni upendeleo aliotupa Mungu bilakubagua ndiyo maana amesema mkutano huo si wa kanisa lake pekee bali ni wa watanzania wote.
"Kilammoja atakaye kanyaga Katika uwanja wa Uhuru siku hiyo Kama anamagonjwa ama magojwa sugu atapona bila hata kuombewa"Amesema.

Post a Comment