RAIS MAGUFULI " Home Mchanganyiko NITAENDELEA KUWAAMINI WANAWAKE KWA KUWAPA NAFASI-RAIS MAGUFULI MCHANGANYIKOUNCATEGORIZED NITAENDELEA KUWAAMINI WANAWAKE KWA KUWAPA NAFASI"
Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli akilihutubia bunge katika Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 bungeni jijini Dodoma
Na.Alex Sonna,Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli amesema kuwa ataendelea kuwaamini wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi wake.
Rais Dkt.Magufuli ameyasema hayo leo tarehe 13 Novemba 2020 bungeni jijini Dodoma wakati akihutubia Mkutano wa kwanza wa bunge la 12.
”Nipende kuwambia wanawake Serikali yangu itaendelea kuwaamini na kuwapa nafasi mbalimbali za Uongozi maana nimeona mnavyochapa kazi ndio maana hata Makamu wa Rais ni Mwanamke”amesema Rais Magufuli.
Aidha Dkt.Magufuli amesema kuwa Serikali yake itaendeleza ushirikiano na Serikali ya Zanzibar chini ya Rais Dkt.Hussein Mwinyi.
Post a Comment