YANGA YAANZA LIGI ,YAILAZA MBEYA CITY TAIFA
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutwaa pointi tatu baada ya kuifunga timu ya Mbeya City bao 1:0 kwenye uwanja wa Mkapa Jijini Dar es alaam.
Goli la Yanga lilifungwa dakika za lala salama ambapo Kiungo Mshambuliaji kutoka Angola Carlinhos kupiga kona ambayo ilienda moja kwenye kichwa cha Lamino Moro na kuisadia timu yake kuondoka na alama 3 katika mchezo huo ambao ulikuwa wa wa kusisimua .
Post a Comment