Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22.
Pia, Tume hiyo imewarejesha wagombea udiwani 26 wa udiwani na kuzikataa rufaa 19 zilizowasilishwa na walalamikaji.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 10 Septemba 2020 na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera imesema tayari imezifanyia kazi rufaa 111 za ubunge na 45 za udiwani.
Post a Comment