Ads

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA DUMILA DARAJANI MKOANI MOROGORO WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo katika eneo la Dumila Darajani mkoani Morogoro wakati akielekea mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akila Mhindi wa Kuchoma katika eneo la Dumila Darajani wakati aliposimama kuzungumza na wafanyabiashara hao wadogowadogo akiwa njiani kuelekea Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Mhindi wa Kuchoma kutoka kwa mfanyabiashara mdogo katika eneo la Dumila Darajani wakati akielekea mkoani Dodoma.

PICHA NA IKULU

No comments