Ads

Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Wapokelewa DSM kwa Shangwe.


Mabingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara,  Simba SC  wamepokelewa Leo Kwa shwangwe kubwa  Jijini Dar es Salaam baada ya kutwaa taji la Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) msimu wa 2019-2020 baada ya ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.

No comments