WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU APITA KURA ZA MAONI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto , Ummy Mwalimu ameshinda kwa kishindo uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 783 kati ya 880. Omary Ayoub amekuwa wa pili kwa kura 41 na wa tatu ni Juma Kimwaga amepata kura 33.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Kura za maoni Jimbo la Tanga Mjini alikuwa Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella.
Post a Comment