Ads

Rais Magufuli atangaza rasmi Uwanja wa Taifa Utaitwa Mkapa Stadium.



RAIS Dk. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kwamba kuanzia sasa Uwanja wa Taifa utajulikana kwa jina la Uwanja wa Mkapa kama hatua ya kuenzi jitihada za Rais mstaafu Benjamin Mkapa katika sekta ya michezo.


Dk. Magufuli ametangaza uamuzi huo leo Julai 28,2020 wakati akitoa hotuba ya kumuelezea Rais mstaafu Benjamin Mkapa ambaye leo ndio siku ya kumuaga kitaifa baada ya kufariki dunia Julai 23 mwaka huu Jinini Dar es salaam


No comments