MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SONGWE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Songwe kabla ya kukagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, Julai 6, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Mkuu w Mkoa wa Songwe katika eneo la Selewa wilayani Mbozi , Julai 6, 2020. Wa tatu kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, wa pili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela na kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Songwe, David Kafulila. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Songwe, Eliniko Mkola na wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, John Palingo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika eneo la Selewa wilayani Mbozi , Julai 6, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela na kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, David Kafulia.
Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi katika eneo la Selewa wilayani Mbozi, Julai 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment