Ads

MKURUGENZI MKUU WA TPB BENKI ATOA SALAMU ZA POLE KWA MAMA ANNA MKAPA

Mwambawahabari

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya TPB Bw.Sabasaba Moshingi akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu,Benjamini Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki ,Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya TPB Bw. Sabasaba Moshingi akitoa pole ya msiba kwa Mama Anna Mkapa  Masaki ,Jijini Dar es Salaam.

No comments