Ads

Mbowe avamiwa na kushambuliwa na wasiojulikana.

Mbowe: Magufuli Akishinda 2020 Najiuzulu Siasa | UDAKU SPECIAL BLOG

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni  Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na Watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 9,2020.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya chama hicho , Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana.
"Ni kweli ameshambuliwa na ameumizwa,amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu. Tutatoa taarifa zaidi baaadae",amesema Msemaji wa chama hicho.

No comments