Ads

BREAKING NEWS: NDLICHAKO AFUNGUKA RATIBA MITIHANI SHULE MSINGI NA SEKONDARI

Habarileo

Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 - Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako.

No comments