Ads

NAHODHA AJIUNGA MBIO ZA URAIS ZANZIBAR.


Shamsi vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya  CCM Mapema leo Asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui na kufanya Idadi ya  Wagombea Sita Hadi Sasa waliochukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar

No comments