WAZIRI MKUU MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, kwenye dua ya kumuombea muasisi huyo, iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020. Waziri Mkuu amemwakilisha Rais Magufuli.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, baada ya dua ya Muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Amani Karume, akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, baada ya dua ya Muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment