Ads

TANZIA: MARIN HASSAN WA TBC AFARIKI DUNIA


Mwanahabari mkongwe aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mkuu wa TBC  Dkt. Ayub Rioba amesema taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC

No comments