Ads

TANZIA : KATIBU MKUU WA CUF KHALIFA SULEIMAN KHALIFA AFARIKI DUNIA.


Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020 katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa akipatiwa matibabu.


Mwili wa Khalifa utazikwa leo katika makaburi ya Kisutu wilayani Ilala, Dar es Salaam.

No comments