Ads

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya
kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt . John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Sala

1 comment:

  1. Strange "water hack" burns 2 lbs overnight

    Well over 160000 women and men are losing weight with a easy and SECRET "water hack" to drop 1-2lbs each and every night as they sleep.

    It's effective and works on anybody.

    This is how to do it yourself:

    1) Go grab a drinking glass and fill it half glass

    2) Now learn this proven HACK

    and become 1-2lbs lighter when you wake up!

    ReplyDelete