Ads

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA BOKWA WILAYANI KILINDI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na kushoto ni Mbunge wa Kilindi, Omar Kigua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijaza maji katika ndoo wakati alipozindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi  4, 2020. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na kulia ni mmoja wa wanufaika wa mradi huo, Mariam Mgaza Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Mariam Mgaza Hassan wakati alipozindua mradi wa maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

  1. Your Affiliate Profit Machine is waiting -

    Plus, making profit with it is as easy as 1...2...3!

    Here is how it all works...

    STEP 1. Choose which affiliate products the system will promote
    STEP 2. Add some PUSH BUTTON TRAFFIC (it LITERALLY takes 2 minutes)
    STEP 3. Watch the affiliate system explode your list and sell your affiliate products for you!

    Are you ready??

    Click here to check it out

    ReplyDelete