MARAIS WASTAAFU WA TANZANIA WAMEWASILI NCHINI KENYA KWAAJILI YA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA KENYA HAYATI DANIEL ARAP MOI.
Mwambawahabari
Marais wastaafu wa Tanzania wakiwasili katika uwanja wa ndege nchi Kenya kwaajili ya Maombolezo msiba wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi.Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe.Benjamin Mkapa akisaini Kitabu cha maombolezo katika msiba wa Rais mstaafu wa Kenya, hayati Daniel Arap Moi.
Msafara wa magari likiwemo gari lililobeba mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezi ya msiba huo nchini Kenya.
Baadhi ya askari wakiusindikiza mwili wa Rais Mstaafu wa Kenya hayati Daniel Arap Moi katika maombolezo ya msiba huo nchini Kenya.




Post a Comment