KANISA LA KRISTO LAIOMBA SERIKALI KUKIONDOA KIKUNDI KILICHOVAMIA ENEO LA WAZI NJE YA KANISA LAO
Uongozi wa Kanisa la Kristo,Temeke Mwembe Yanga umeiomba Serikali kukiondoa kigenge cha watu wachache waliovamia eneo la wazi lililopo mbele ya kanisa hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibu Mchungaji wa Kanisa hilo,Morris Chiuyo alisema kuwepo kwa Genge la watu hao wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali ikiwemo masuala ya Gereji hivyo wamekuwa wakiwapigia makelele pindi wanapokuwa wakiendesha ibada zao.
Alisema kikundi na Genge la watu hao wamekuwa wakijiita Mwembe Yanga Sports wamekuwa wakileta makelele wakati wao wakiendesha ibada zao hivyo husababisha waamini kuto kisikiliza vinzuri sehemu ya ibada hizo .
“Tunaiomba Serikali ituondolee haya makundi ya watu hao mambo yanayo endelea hapo nje yanazidi kulitaabisha Kanisa ikizingatiwa hilo eneo wanalofanyia shughuli zao kisheria kabisa linajulikana ni eneo la wazi,”Alisema Chiuyo.
Alisema sehemu yoyote ambayo kuna kuwa na makanisa au misikiti inatakiwa lazima iwe na usikivu wakutosha katika ibada ili wakupo na usikilizano hiyo serikali itusaidie katika hilo kijiwe hicho kisiwepo.
Pia alisema licha ya makelele wapo baadhi ya mamantilie madalali waaina mbalimbali wamekuwepo katika eneo hilo wakifanya shughuli zoa na wakati mwingine wamekuwa wakibishana na kelele hizo huwafikia wao kwenye ibada zao na kukosa utulivu wakutosha.
“Kwa kweli mara nyingi hata baadhi ya viongonzi wa Serikali za mitaa waliweza kuwaambia jambo hilo lakini cha kushangaza watu hao wamekuwa wakiendelea kuwepo siku hati siku naamini Rais Magufuli pamoja na Waziri wetu waziri Ardhi wataweza kusikia kilio chetu kwa haraka”.,Alisema Chiuyo.
Katika hatua nyingine alisema ikiwezekana kama serikali waweze kwenda kuangalia kero ambazo wanakunana nazo wakati wanaendelea na ibada zao iliwaone namna wanavyo taabika.
Kwa upande wake Katibu wa Kanisa hilo Aidani Mwasambogo,alisema uwepo wa vigenge hivyo vimekuwa vikiwapa vikwazo vingi sana kwa kuwa wapo baadhi ya watu wamekuwa wakipigana mbele ya kanisa hilo wakati wao wanaendesha ibada zao
“Baadhi wanakuja wanagombenea hapa nje ya mlango wanatoleana lugha za matusi wanazomeaana na kadhalika hitu hivyo vina tukera sasa tunaiomba serikali iingilie kati .’Alisema Mwasambogo
Pia ,alisema licha ya kuwaletea kelele sehemu hiyo kumekuwa na magari makubwa aina ya Scania yamekuwa yakipaki katika sehemu hiyo ambayo ilikuwa eneo la wazi na kutokana na mlio wamagari hayo kuwa mkubwa nako imekuwa ni kero kwa waamini .
“Mwandishi fikiria mwenyewe mlio wa Scania yaani ni changamoto kubwa hatuna raha ya kuabudu angalia Scania linapo paki au linapo taka kuondoka na likipiga less ni mlio mkubwa yaa .,Alisema Mwasambogo.
Mwasambogo alisema wapo baadhi ya watu wamekuwa wanajisaidia hovyo pembezoni mwa kanisa hilo kutokana na kigenge hicho kutokuwa na vyoo.
Alisema wapo baadhi wanavuta sigara karibu na kanisa hivyo wanakosa uhuru wa kuabudu kama sheria ya nchi inavyo sema .

Post a Comment